TETESI ZA SOKA ULAYA

In Kimataifa, Michezo

Juventus iko tayari kubadilishana wachezaji ambapo mpango huo utamfanya winga wa Juvetus Christiano Ronaldo kujiunga na PSG huku mshambuliaji wa Brazil Neymar akielekea Juventus. (Tuttomercato – in Italian)

Hatahivyo , Ronaldo anafikiria kurudi katika klabu yake ya zamani Manchester United.

Babake Lionel Messi ambaye pia ni ajenti wake amekana ripoti kwamba mshambuliaji huyo ana mipango ya kujiunga na PSG kutoka Barcelona msimu. (Goal)

Manchester United inapanga kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba 27 wakati wa dirisha la uhamisho la msimu ujao.. (Talksport)

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Dk. Bashiru Awakaribisha CCM Wanawake Imara wa Upinzani.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amesema chama chake kinawakaribisha wanasiasa wanawake ‘shoka’ wa upinzani

Read More...

TRUMP KUNG’ATUKA RASMI IKULU

Rais wa Marekani Donald Trump amesema jana kwamba ataondoka ikulu ya White House baada ya rais mteule Joe

Read More...

SOKA NA TETESI ZAKE ULAYA

Pep Guardiola anataka Manchester City kumsajili Jack Grealish, baada ya kubaini kiungo huyo wa kati wa Aston Villa na

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu