Tetesi za soka Ulaya.

In Kimataifa, Michezo

Klabu ya AC Milan inasaka saini ya winga wa Crystal Palace
Wilfried Zaha mwezi Januari na inaamini kwamba mchezaji hyo
mwenye umri wa miaka 28 wa Ivory Coast anaweza kuwasaidia
kupata taji la kwanza la Serie A katika kipindi cha miaka 10.
(Sun)
Milan pia ina matumaini ya kuafikiana mkataba wa kumzuia
kipa wa Itali mwenye umri wa miaka 21 Gianluigi Donnarumma
katika klabu hiyo. (Corriere Della Sera – in Italian)
Mshambuliaji wa Uhispania Diego Costa, 32, ameambia klabu
ya Atletico Madrid anataka kandarasi yake kufutwa na

kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la uhamisho la
mwezi. (Goal)
Arsenal inafikiria kufanya uhamisho wa ghafla wa
mshambulikaji huyo wa zamani wa Chelsea , huku Gunners
wakiwa na mpango wa kuongeza mshambuliaji mwengine. (AS
via Express)
Iwapo Costa atajiunga na wapinzani wao wakuu katika ligi ya
La liga Real Madrid, Barcelona au Sevilla, timu yake mpya
italazimika kulipa £22.7m. (El Mundo)

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

RAIS MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI SILAYO

Rais Dk John Magufuli leo amezindua na kubadilisha jina Shamba la Miti Chato na kuliita Shamba la Miti

Read More...

Kenya kutumia Teknolojia ya Roboti kudhibiti Corona.

Wizara ya Afya nchini Kenya imezindua Teknolojia ya kutumia Roboti ili kupambana na janga la virusi vya Corona na

Read More...

Rais wa Ethiopia atua Chato kwa ziara ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la watu wa Ethiopia Sahle Work Zewde,amewasili nchini Tanzania tayari kufanya ziara

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu