‘Thriller’ ya Michael Jackson kurudi kwa mfumo wa kisasa…

In Burudani, Kimataifa

 

Mnamo Novemba 30, mwaka 1982 dunia ilishuhudia albamu ‘Thriller’ kutoka kwa msanii nguli wa muziki wa Pop dunini Michael Jackson.

Nitakribani miaka 35 tangu msanii huyo aachia albamu hiyo yenye ngoma saba,  na sasa itaweza kupatikana katika toleo jipya la 3D, litakalotoa nafasi kwa mashabiki wa msanii huyo kufaidi upya muziki wa legendary huyo imebainishwa na muongozaji John Landis.

Albamu hiyo itakuwa katika mfumo wa kisasa wa teknologia  na itafanyiwa vionjo mbalimbali vya sauti ili kuleta radha stahiki ya muziki wa pop.

“Michael and I always intended it to be seen in a cinema. When you watch in on YouTube, you don’t see how it is supposed to be. Now you can see the way Michael intended it to be,” amesema Landis.

Akaongeza “My only disappointment is that he is not here to see it because he’d love it!.” Original albamu ya ‘Thriller’ ilitengenezwa chini ya Epic Records pamoja na CBS Records, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 akiwa na miaka 50.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu