TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

In Michezo

.
.
Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa klabu ya Lyon, Ndombele.
.
.
Kupitia mtandao wa Di Marzio, umethibisha dili huenda likakamilika baada ya masaa machache kutoka sasa.
.
.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa hakiushishwa kujiunga na klabu kadhaa zikiwemo Manchester United, Liverpool, na Arsenal.
.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu