Tozo za ushuru na Bajaji zaondolewa Jijini la Mbeya.

In Kitaifa

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert  Chalamila  amewaagiza madereva bajaji na bodaboda ambao tayari wana vitambulisho vya ujasiriamali kutotoa tozo za ushuru wowote ambao watadaiwa.

Chalamila amedai kuwa hakuna dereva yeyote ambaye atakuwa na kitambulisho cha ujasiriamali atakayedaiwa ushuru wowote kutoka kwa watendaji waliopo chini .

Hata hivyo ametoa wiki mbili kwa baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo ambao mpaka sasa bado hawajachukua vitambulisho vya ujasiriamali kuhakikisha wanachukua vitambulisho hivyo.

Katika hatua nyingine Chalamila amewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya kuhakikisha wanafuata taratibu zinazotolewa na serikali kwa mujibu wa sheria badala ya kwenda kinyume.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu