Tundu Lissu kutua Nchini mwezi septemba

In Kitaifa

Mbunge wa Singida Mashariki kupitia chama cha (CHADEMA) na mnadhimu Mkuu wa upinzani Tanzania Tundu Lissu ametangaza kwamba atarudi nchini  tarehe saba mwezi wa tisa ikiwa ni miaka miwili tangu aliposhambuliwa.

Akizungumza kwa njia ya simu na Mwenyekiti wa (CHADEMA) Freeman Mbowe katika ziara anayoifanya, Lisu amesema kuwa atarudi nchini Tanzania siku hiyo ili kuadhimisha kushambuliwa kwake.

”Nitatua tarehe saba mwezi septemba 2019 kwenye ardhi ya Tanzania kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa nitakuwepo, alisema Tundu Lissu

Ujumbe huo uliwafurahisha sana wanachama wa chama hicho waliokuwa katika makao makuu ya chama hicho.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu