Ugonjwa wa seli mundu kutibiwa bure.

In Kitaifa

Serikali inaanza mpango wa Taifa wa udhibiti wa magonjwa yasiyoambukiza ,ambapo ugonjwa wa seli mundu ni moja ya magonjwa yatayokuwa yanaratibiwa kitaifa.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Mhe, Dakta Faustine Ndugulile, wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalum Taska Mbogo, aliyeuliza serikali inampango gani wa kuwasaidia wagonjwa wa seli Mundu kupata matibabu bure.

Dakta Ndugulile amesema serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto, imeanda mwongozo wa kutoa msamaha kwa makundi tofauti yasiyo na uwezo, likiwemo wa kutoa msamaha kwa makundi tofauti yasiyo na uwezo, likiwemo kundi la watu wenye magonjwa sugu.

Amesema serikali inatambua kuwa wagonjwa wa seli mundu wanahitaji matibabu mfululizo ,kutokana na kupata maumivu na madhara ya ugonjwa huo mara kwa mara.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu