Ujenzi wa daraja la dharura Handeni waendelea.

In Kitaifa

Jeshi la wananchi JWTZ kikosi cha 121uhandisi wa medani Ngelengele kinaendelea na zoezi la uwekaji wa daraja la dharura katika eneo la Ndelema barabara kuu inayounganisha wilaya za Handeni na Kilindi zoezi hilo lilianza jana na linategemewa kukamilika leo ili magari yaanze kupita.

Ujenzi wa daraja la dharura Handeni waendelea…..
Jeshi la wananchi JWTZ kikosi cha 121uhandisi wa medani Ngelengele kinaendelea na zoezi la uwekaji wa daraja la dharura katika eneo la Ndelema barabara kuu inayounganisha wilaya za Handeni na Kilindi zoezi hilo lilianza jana na linategemewa kukamilika leo ili magari yaanze kupita.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh Godwin Gondwe ambapo ameelezea jitihada zinazoendelea katika kukamilisha ujenzi wa daraja hilo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu