Ushoga wawagusa raia wa Marekani, Ubalozini wazungumza.

In Kitaifa

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, umewashauri wananchi wake nchini humo, kufuatilia maelezo katika mitandao ya kijamii ili kuepuka kukiuka sheria zinazopambana na mashoga katika taifa hilo. Wiki iliyopita mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, alitangaza kamati maalumu zitakazoanza kuwafuatilia watu wanaoshukiwa kujihusisha na vitendo vya ushoga, na ukahaba.Makonda pia alitoa wito kwa jamii kutoa taarifa za mtu yeyote anayeshukiwa kujihusisha na vitendo vya ushoga. Ubalozi huo pia umewataka raia kufuatilia taarifa za habari za ndani na kuonya kwamba mamlaka za Tanzania hazitoi taarifa kwa wakati kwa wawakilishi wa kidiplomasia baada ya wageni kukamatwa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Kitambulisho cha Vladimir Putin cha ujasusi chapatikana Ujerumani.

Kitambulisho cha Vladimir Putin alichopewa kama jasusi Ujerumani alipokuwa anafanya kazi kama jasusi wa Urusi kimepatikana katika makavazi mjini

Read More...

May aairisha kura kuhusu Brexit.

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ameahirisha kura iliyokuwa ifanyike leo bungeni kuhusu makubaliano ambayo serikali yake na Umoja

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu