Vanny Boy athibitisha kuachana na mkewe.

In Burudani

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB Rayavnny amethibitisha kuachana na mke  mtoto wake Fahym.

Kupitia ukurasa wake wa Instram Ryvanny amepost meseji alichat na mama mtoto wake na kuandika hivi:-

“NIMEKUA NAKUHESHIMU MIAKA YOTE TULIOKUA PAMOJA KUNA MENGI TUMEKOSEANA NA TUMESAMEHEANA NA MOST OF THE TIME UMEKUA UKITAMANI MAISHA AMBAYO KILA SIKU NAKWAMBIA HAYATAKUSAIDIA …. NAKUHESHIMU NA NAISHEMU SANA FAMILIA YANGU …. IKIWA UMEAMUA MWENYEWE KUONDOA I WON’T BLAME YOU ….. STILL LOVE MY FAMILY …NAKUTAKIA MAISHA MEMA 🙏🙏🙏🙏”

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu