VIDEO:Msikilize Mama huyu jinsi anavyoishi na “HOUSE GIRL” wake

In Kitaifa, Mahusiano

Kuelekea siku ya wanawake duniani tarehe 03/08  radio5 kupitia kipindi pendwa cha mishe mishe imekuandalia kampeni isemayo ,dada wa kazi ni sehemu ya familia lengo ni kupinga unyanyasaji ubaguzi kwa wanaofanyiwa wadada wa kazi.

usikose kusikiliza yote haya katika kipindi cha mishe mishe kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa4 kamili hadi saa7 mchana #Dadawakazinisehemuyafamilia.

TIZAMA VIDEO HAPO CHINI

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Majeshi ya Marekani yauwa raia Somalia

Majeshi ya Marekani yanayoendesha mashambulizi ya angani nchini Somalia dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabab nchini humo

Read More...

Idai yapoteza makazi ya watu 400,000.

Shirika la Msalaba Mwekundu linakadiria kuwa watu 400,000 wamepoteza makaazi yao nchini Msumbiji kutokana na Kimbunga Idai kilichoipiga nchi

Read More...

Baa la njaa kuikumba Kenya.

Zaidi ya watu milioni 1.5 nchini Kenya wako katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kufuatia kutokuwepo kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu