Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, ameridhia uamuzi wa kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.
Bonyeza VIDEO hapa chini kutazama alichozungumza Rais Magufuli wakati akikubali ombi la Kinana la kujiuzulu.