Viongozi 14 wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA) wamepokonywa hati zao za kusafiria (Passport) na Idara ya Uhamiaji.

In Kitaifa

Viongozi hao ni pamoja na Gavana wa Kaunti ya Mombasa, Hassan Ali Joho na viongozi wengine ni Mfanyabiashara Jimmy Wanjigi, James Orengo, David Ndii na baadhi ya makada wa NASA.

Bado serikali haijatoa sababu ya kushikilia passport hizo lakini Vyombo vya Habari nchini humo vimehusisha tukio hilo na sababu za kisiasa.

Wakati hayo yakijiri jana Februari 7, 2018 wafuasi wa NASA waliandamana kushinikiza serikali kumrudisha nchini Kenya mwanaharakati, Miguna Miguna ambaye amefukuzwa nchini humo kwa kuhudhuria siku ya kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu