Viongozi wengine wawili CUF watimkia CCM.

In Kitaifa

Mwanasheria Mkuu wa chama cha wananchi CUF, Hashimu Mzirai na Naibu Meya wa jiji la Dar es Salaam, Musa Swedi wametangaza kujiuzulu nyazifa zao ndani ya chama hiko.

Mzirai ambaye pia alikuwa mjumbe wa kamati kuu wa chama hiko na Meya Swedi ambaye alikuwa diwani wa Kata ya kiwalani wametangaza uwamuzi huo leo Agosti 18, 2018 mbele ya waandishi wa habari.

Wawili hao wameomba kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM).

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu