Viongozi zaidi ya 900 kuchunguzwa mali zao.

In Kitaifa

Leo June 11, Jaji Harold Reginald Nsekela, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti amezungumza na waandishi wa habari kuhusu uhakiki wa mali za Viongozi upya.

Jaji Nsekela amesema kwa sasa namba ya viongozi ni zaidi ya 900 na kusisitiza inawezekana ikaongezeka kufikia zaidi ya 1000 na kuwataka viongozi kutopotoshwa na kushiriki kuhakika ili kumaliza zoezi hilo ambalo litaanza tarehe 18 mwezi wa sita mwaka huu na kukamilika 18 mwezi was aba mwaka huu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu