Vurugu yasababisha Arusha United kujitoa.

In Michezo

Timu ya mpira wa miguu Arusha United ambayo ilikuwa inashiriki ligi daraja la kwanza wametangaza rasmi kujitoa katika ligi hiyo kutokana na vitendo vya vurugu ambavyo vinatishia Usalama wa wachezaji na kutishia benchi la Ufundi Pindi wawapo viwanjani.

Mkurugenzi wa Arusha United wana Utalii Ote Beda amesema licha ya kuripoti katika shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) lakini bado hakuna barua hata moja iliyojibiwa zaidi vitendo vya kupigwa kwa wachezaji,Viongozi na Muda mwingine waamuzi wa Mpira kutotenda haki.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

CAF YAWAPIGA CHINI MAREFA WA TANZANIA AFCON 2019, YACHUKUA HADI WA BURUNDI,KENYA,TANZANIA HOLAA.

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya marefa 27 na marefa wasaidizi 29 kwa ajili ya Fainali za

Read More...

Man U, Juventus wafungishwa virago UEFA

Timu ya Manchester United imeondoshwa katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali baada ya kukubali

Read More...

Arsenal yarejea nafasi ya nne ligi kuu.

Arsenal yafanikiwa kurejea tena nafasi ya nne katika jedwali la ligi ya premia baada ya ushindi wake dhidi ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu