Waandamanaji wawili wauawa katika maandamano ya kupinga Serikali nchini Venezuela.

In Kimataifa
   Watu wengine wawili wameuawa katika siku nyingine ya maandamano ya kupinga Serikali nchini Venezuela, ambapo watu waliofariki kwa mwezi uliopita kufika 40.
Waandamanaji wachanga katika mji wa Caracas waliwatupia wanajeshi chupa na kinyesi cha wanadamu, huku maafisa wa usalama wakiwapuliza na gesi ya kutoa machozi na kuwamwagia maji kutoka magari makubwa maalumu ya kuzima ghasia.
Wakati maandamano hayo yakienmdelea, wanaounga mkono serikali nao pia walifanya yao, wakicheza Salsa na kuonesha picha ya aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Hugo Chavez.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu