Waandishi wa Habari watatu watiwa mbaroni kwa utapeli,wajigeuza Usalama wa Taifa.

In Kitaifa

Waandishi wa habari watatu; Paul Kayanda, Shabani Njia na Saimoni Dionizi wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa usalama wa taifa na kudaiwa kujipatia fedha kiasi cha Tsh. milioni 1 kutoka kwa mganga wa jadi kwa njia ya udanganyifu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu