WADAU WAJITOKEZA KUSAIDIA MICHUANO YA FEASA

In Michezo

Wadau mbalimbali jijini Arusha wamejitokeza kusaidia  mashindano ya shirikisho la michezo   kwa shule za sekondari Afrika Mashariki (FEASA) kwa kujitolea mahitaji muhimu ikiwemo maji,vyakula na usafiri ili kufanikisha michuano hiyo ya kimataifa.

Mwenyekiti wa Umoja wa Shule zisizomilikiwa na serikali (Tamongsco) mkoa wa Arusha Isabella Mwampamba akizungumza wakati akikabidhi sehemu ya vitu walivyovitoa amesema kuwa lengo lao ni kuunga mkono serikali katika michuano hiyo ili iweze kufanya kazi vizuri na kuliletea taifa heshima….Insert 1

Afisa Elimu mkoa wa Arusha Halfani Masukira ameushukuru umoja wa shule binafsi kwa kujitoa kufanikisha mashindano hayo muhimu ambayo yanatarajia kuanza Agosti 15 mwaka huu na kuwakutanisha watu zaidi ya 3000…

Mjumbe kamati ya michezo hiyo Halifa Kiembe amesema kuwa michezo hiyo ni muhimu katika kukuza na kuibua vipaji muhimu ambavyo vitaiwezesha Tanzania na Afrika Mashariki kung`ara kimataifa…

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu