Wahamiaji 117 waliozuiliwa Libya wawasili Rwanda.

In Kimataifa

Wahamiaji 117 kutoka waliokuwa wamezuiliwa Libya wamewasili nchini Rwanda mapema leo asubuhi, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHR.

Wengi wa wahamiaji wa kundi hili la sasa wanatoka katika nchi za Eritrea na Somalia.

Muungano wa Ulaya awali uliilipa mamilioni ya euro kwa nchi ya Niger ambayo inawahifadhi wakimbizi zaidi ya 4,000 ambao walikuwa wanashikiliwa nchini Libya ili kuwazuwia kuendelea kuingia Ulaya.

Maafisa wa Rwanda wamesema kuwa hawana makubaliano na Muungano wa Ulaya, wala hawana faida rasmi kutokana na kuwapokea wakimbizi.

Kundi hili linafuatia Kundi jingine la wahamiaji 66 lililojumuisha nalojumuisha watu watu walio hatarini zaidi pamoja na watoto walio peke yao ambalo liliwasili nchini humo wakiwemo watoto.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu