Wakamatwa na Polisi wa kuuza tiketi za kwenda ,Mbinguni.

In Kimataifa

Viongozi wawili wa kanisa nchini Zimbabwe Titto
Watts na mkewe Amanda Watts,wamekamatwa na
Polisi nchini humo kwa kuuza tiketi za kwenda
mbinguni kwa waumini wa kanisa lao.
Cha kusangaza ni kwamba watu kadhaa
wameripotiwa kununua tiketi hizo kwa gharama ya
Us Dolla 500 kwa tiketi moja,hiyo gharama ni sawa
na milioni 1.2 kwa fedha ya kitanzania.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu