WAKAZI WANADAI KASI YA NIDA Haitoshi kukamilisha Usajili.

In Kitaifa

Picha hii imepigwa katika +UWANJA WA NYERERE SQUARE Dodoma leo tarehe 14.1.2020 ,ulikuwa muda wa Watu kufika na kukamilisha usajili kwa mfumo wa alama za vidole na kupewa namba yako ya NIDA.

Hadi Muda huu NIDA hawajafika uwamjani hapo. WAKAAZI WANADAI KASI YA NIDA Haitoshi kukamilisha Usajili kwa Muda Iliobaki.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Aston Villa kumsajili mshambuliaji wa Genk na Tanzania kwa kwa dau la £10m

Aston Villa inatumai kukamilisha makubaliano ya dau la £10m kumsajili mshambuliaji wa Genk Mbwana Samatta huku mkufunzi Dean Smith

Read More...

UKUSANYAJI WA DAMU NCHINI WAONGEZEKA, JAMII YAHAMASIKA KUCHANGIA

MPANGO wa Taifa wa damu salama umebainisha kuwa jamii imehamasika kwa hali ya kutosha na kusaidia ongezeko kubwaa kujitokeza

Read More...

MPANGO KABAMBE WA MATUMIZI BORA YA ARDHI YA KILIMO WAANDALIWA.

MPANGO KABAMBE WA MATUMIZI BORA YA ARDHI YA KILIMO WAANDALIWA. Kikao kazi cha Kupitia ,Kuboresha na Kuhuisha Rasimu ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu