Wakili azungumzia ilipofikia kesi ya Kabendera.

In Kitaifa

Wakili anaemtetea Mwandishi wa Habari Erick Kabendera, Jebra Kambole leo amaezungumza na wanahabari na kuelezea ilipofikia kesi ninayomkabili mwanahabari huyo.

Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo la utakatishaji fedha wa zaidi ya TSh.Mil 100, ambapo leo November 20, 2019 shauri lake limeitishwa kwa ajili ya kutajwa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika

Read More...

RC Makonda amkaribisha DC Gondwe

Mkuu wa Mkoa DSM wa Paul Makonda leo July 9 amezungumza na Mkuu wa Wilaya mpya wa Temeke Mh Godwin Gondwe pamoja

Read More...

Takukuru Dodoma watoa kauli kuhusu mbunge kibajaji.

Kufuatia kuwepo kwa taarifa za TAKUKURU mkoani Dodoma kumshikilia mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livinstone Lusinde Kibabaji, leo wamezungumzia swala hilo. Kwa uzuri Mtaa wa Mastory

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu