Wakili Mwale ahukumiwa kulipa faini Sh200 milioni au kifungo cha miaka mitano.

In Kitaifa

Jaji Issa Maige waMahakama Kuu Arusha leo JumatatuDesemba 3, 2018 amemhukumu wakili Medium Mwale kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedha.
Pia amemuhukumu kifungo cha miaka saba ambacho ameshakitumikia kutokana na makosa mengine.

Katika kesi hiyo wakili Mwale na wenzake, Boniface Mwimbwa aliyekuwa meneja wa
Benki ya CRDB tawi la Meru na Elias Ndejembi wanatuhumiwa kwa makosa
kadhaa ikiwemo kughushi na utakatishaji fedha.

Katika kesi hiyo, aliyekuwa mshitakiwa wa pili, Donbosco Gichana (raia wa Kenya)
alikiri makosa ya kula njama na kutakatisha fedha kiasi cha dola za Marekani
5,296,327.25 na kuamriwa kulipa faini au kutumikia kifungo gerezani.
Gichana alilipa faini hiyo na tayari aliondoka nchini kurejea Kenya.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Kitambulisho cha Vladimir Putin cha ujasusi chapatikana Ujerumani.

Kitambulisho cha Vladimir Putin alichopewa kama jasusi Ujerumani alipokuwa anafanya kazi kama jasusi wa Urusi kimepatikana katika makavazi mjini

Read More...

May aairisha kura kuhusu Brexit.

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ameahirisha kura iliyokuwa ifanyike leo bungeni kuhusu makubaliano ambayo serikali yake na Umoja

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu