WANAFUNZI WA UDEREVA WAHITIMU ARUSHA.

In Kitaifa

Wanafunzi wa Mafunzo ya Udereva katika chuo cha Polisi Arusha wameungana na (RTO) Marry Kipesha kupata vyeti vyao pamoja na leseni katika Maafali yao.

Pia Marry Kipesha amewasisitiza na kuwapongeza Madereva hao kwa kuamua kupata elimu hiyo pamoja na kufuata yale waliyofundishwa ili wakawe Madereva vielelezo kwa wengine kwa lengo la kupunguza ajali za barabarani.

Aidha amewataka Madereva wote Wafanyabiashara na wenye magari binafsi pamoja na waendesha bodaboda kufuata sheria za barabarani pia kupata Elimu ili kutambua sheria kwani watu wengi wanatumia vyombo vya moto lakini hawana elimu ya barabarani yakutosha.

Mratibu wa Mafunzo Joseph Wilfred Makyao amewasisitiza Madereva wote wahitimu kuwa na utii wa sheria za barabarani pia amewashauri madereva ambao hawana elimu pia walemavu pamoja na watembea kwa miguu kuendelea kujifunza kuhusiana na sheria za barabarani.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TUME YA MADINI KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI

Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akielezea fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini Tanzania katika

Read More...

Halmashauri ya Jiji la Arusha kutokomeza mimba za utotoni.

Halmashauri ya Jiji la Arusha ikishirikiana na wataalamu wa Afya kutoka mashirika mbalimbali, maafisa  elimu kata na sekondari,

Read More...

MNADA WA ALMASI WDL WAZIDI KUPAMBA MOTO.

Leo tarehe 20 Februari, 2020 mnada wa asilimia tano ya madini ya almasi kutoka katika Mgodi wa Williamson Diamond

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu