Wanaume kuongezewa muda wa likizo ya uzazi nchini.

In Kitaifa

Leo June 11 Mbunge wa CHADEMA  Said Kubenea amesema Serikali inapaswa kuangalia watu walioko na zaidi ya mke mmoja ili kuingizwa katika mfuko wa bima ya Afya kutokana na baadhi ya makabila na madhehebu ya kidini kuruhusu hilo kwani mfuko wa bima wa Afya unatambua mke mmoja,Swali ambalo pia limesifiwa sana na Spika wa Bunge Mh Job Ndugai na likajibiwa na Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Joseph Kakunda akisema Serikali limelichukua suala hilo na litafanyiwa kazi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MO apatikana, atelekezwa na watekaji.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Bilionea/Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’  aliyetekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11,2018 amepatikana

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu