Watanzania waendelea kumuaga Hayati Mkapa.

In Kitaifa


Kuagwa kwa Hayati Benjamin William Mkapa Rais wa awamu
ya tatu Tanzania kunaendelea katika uwanja wa Uhuru DSM
ambako maelfu ya watanzania wamefika kumuaga Hayati
Mkapa.


Zoezi la kuaga limeanza jana ambako linatarajiwa kukamilika
kesho na kisha zoezi la kumpumzisha katika nyumba yake ya
milele kufanyika jumatano Mtwara.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu