Watu 5 wafariki baada ya treni kugongana na Kiberenge…

In Kitaifa


Taarifa kutoka Mkoani Tanga katika wilaya ya Korogwe ni
kwamba watu watano wakiwemo watumishi wa Shirika la Reli
Tanzania (TRC) wamefariki dunia katika ajali ya treni ya
uokoaji iliyogongana na kiberenge  kati ya stesheni ya
Mwakinyumbi na Gendagenda.


Majeruhi mmoja anaendelea na matibabu katika hospitali ya
Wilaya Korogwe


Kwa upande wa Jeshi la polisi kupitia Kaimu Kamanda wa
polisi Mkoani Tanga Leons Rwegasira amethibitisha pia
kutokea kwa tukio hilo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu