Wazazi watakiwa kuwekeza kwenye Elimu.

In Kitaifa

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi Ana Mgwira, amewataka Wazazi kuwekeza katika Elimu kwa kutoa michango itakayowezesha Shule kujengwa.

Amesema kwa kufanya hivyo kutawaepusha Watoto wao hususan wa kike, kuondokana na vitendo vitakavyosababisha kukatisha masomo yao.

Mkuu huyo wa mkoa ametoa agizo hilo wakati alipokuwa akizindua Shule ya secondarily ya Esinyari iliopo wilaya Siha Mkoani Kilimanjaro.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Majeshi ya Marekani yauwa raia Somalia

Majeshi ya Marekani yanayoendesha mashambulizi ya angani nchini Somalia dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabab nchini humo

Read More...

Idai yapoteza makazi ya watu 400,000.

Shirika la Msalaba Mwekundu linakadiria kuwa watu 400,000 wamepoteza makaazi yao nchini Msumbiji kutokana na Kimbunga Idai kilichoipiga nchi

Read More...

Baa la njaa kuikumba Kenya.

Zaidi ya watu milioni 1.5 nchini Kenya wako katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kufuatia kutokuwepo kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu