Waziri mkuu afunga maadhimisho nane nane.

In Kitaifa

Kilele cha maadhimisho ya sherehe na maonesho ya wakulima nanenane 2019, yamefanyika kitaifa kanda ya ziwa mashariki katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa,ambaye alizungumza mambo kadhaa katika kilele cha maazimisho hayo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Manchester City kushiriki kombe la Ulaya.

Klabu ya Manchester imefanikiwa kubadili marufuku ya miaka miwili kushiriki katika mashindano ya klabu bingwa Ulaya kuanzia msimu

Read More...

Mama akiri kuua Watoto wake wanne.

Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni

Read More...

Mtoto wa Nelson Mandela afariki dunia.

Zindzi Mandela, mtoto wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela na aliyekuwa balozi wa Afrika Kusini nchini

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu