Waziri wa Maliasili atoa tahadhari kwa wanaojihusisha na ujangili.

In Kitaifa
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ametoa tahadhari kubwa kwa watu ambao bado ,wanaendelea kujihusisha na vitendo vya ujangili ndani ya hifadhi za taifa zote nchini.
Ameyasema hayo wakati wa mahafali ya 52 na maadhimisho ya miaka 51 ya Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori ya Pasiasi iliyoko mkoani Mwanza, nakusema  kuwa wao kama Serikali wamejipanga kushinda Ujangili huo.
Aidha, ameongeza kuwa vijana wengi wanaomaliza katika vyuo hivyo wamefanikiwa kuwa kamata na kuwafikisha katika vyombo vya dola majangili wapatao 800, ambao wamekuwa wakijihusisha na shughuli hiyo.
Hata hivyo, kwa upande wake  Mkuu wa chuo hicho, Lowaeli  Damalu amesema kuwa kutokana na mafunzo bora, Maaadili na Nidhamu wanayoitoa kwa wanafunzi wao,hivyo kuiomba  Serikali kuwapatia Ajira  Wahitimu  katika  Chuo hicho.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu