Yanga watuma ujumbe kwa Tanzania Prisons.

In Kitaifa, Michezo

Cedric Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji
wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya
Tanzania Prisons utakaochezwa Alhamisi, Uwanja wa Nelson
Mandela


Mchezo huo ni wa kwanza kwa mzunguko wa pili msimu wa
2020/21 baada ya mzunguko wa kwanza kumeguka
Yanga imefunga pazia la mzunguko wa kwanza ikiwa
imekusanya jumla ya pointi 43 ipo nafasi ya kwanza na
haijapoteza mchezo hata mmoja.


Itakutana na Tanzania Prisons, Desemba 31 ikiwa ni mchezo
wao wa mwisho kwa mwaka 2020 kabla ya kuanza mwaka
mpya 2021 kwa Neema ya Mungu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

RAIS MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI SILAYO

Rais Dk John Magufuli leo amezindua na kubadilisha jina Shamba la Miti Chato na kuliita Shamba la Miti

Read More...

Kenya kutumia Teknolojia ya Roboti kudhibiti Corona.

Wizara ya Afya nchini Kenya imezindua Teknolojia ya kutumia Roboti ili kupambana na janga la virusi vya Corona na

Read More...

Rais wa Ethiopia atua Chato kwa ziara ya siku moja.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la watu wa Ethiopia Sahle Work Zewde,amewasili nchini Tanzania tayari kufanya ziara

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu