YG NA KEHLANI WAMEACHANA TENA.

In Burudani

Ni juzi tu katika siku ya wapendanao mambo yalionekana yapo vizuri kati ya rappa #yg na mpenzi wake #kehlani ambapo walitoa wimbo wa pamoja katika siku hiyo uitwao #konclusion taarifa mpya zinasema kuwa wawili hao wameachana.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter mwanadada #kehlani amebainisha kuwa yupo single.

Baada ya kauli hiyo imefatiwa na wimbo ambao ameupa jina #ValentineDay ambao ameonekana kuzungumzia kuhusu kuachana kwake na rappa #yg .

Baadhi ya mistari kwenye wimbo huo imebainisha kutengana kwao kwani Kehlani anaskika akiimba “I helped you fight your addiction and change your whole life just to find my self played in the end” .

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu