Yusuf Manji Mahakamani kuanzia September 25 hadi 27, 2017.

In Kitaifa

 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia kusikiliza kwa siku tatu mfululizo ushahidi wa utetezi katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mfanyabiashara Yusuf Manji kuanzia September 25 hadi 27, 2017.

Wakili wa Serikali Mkuu, Timony Vitalis amemueleza Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha kuwa, kesi hiyo imeitishwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi lakini yeye ana safari akidai kuwa leo mchana anataka kusafiri, hivyo ushahidi wa kesi hiyo ukianza kusikilizwa atachelewa.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Mkeha alimuuliza Manji kwa nini amechelewa kufika Mahakamani, ambapo Manji alijibu alikuwa eneo la karibu hivyo alisubiri aitwe na Wakili wake.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Mkeha aliahirisha kesi hiyo hadi September 25-27, 2017 kwa ajili ya kusikilizwa mfululizo.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu