ZIMBABWE, UMOJA WA ULAYA WAANZA MAZUNGUMZO KUMALIZA VIKWAZO VYA KIUCHUMI

In Kimataifa

Mabalozi kutoka nchi za Umoja wa Ulaya walioko Zimbabwe wamekutana na wawakilishi wa Serikali katika awamu ya kwanza ya mfululizo wa mazungumzo yaliyopangwa kufanyika baina ya pande hizo mbili kujaribu kumaliza miongo kadhaa ya vikwazo vya kiuchumi kwa Zimbabwe.

Umoja wa Ulaya uliondoa sehemu kubwa ya vikwazo vya kiuchumi kwa nchi ya Zimbabwe mwaka 2014 lakini imekuwa ikiinyima msaada wa kifedha kwa Serikali.

Mataifa ya Afrika yakiongozwa na Afrika Kusini, yameendelea kutaka Mataifa ya Magharibi kuiondolea vikwazo Zimbabwe ili kuipa nafasi ya kukua tena kiuchumi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu