In Kitaifa

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo Wilayani
Misungwi mkoani Mwanza Charles Maige mwenye umri kati ya
miaka 45 hadi 50,anashiliwa na jeshi la Polisi Wilayani humo
kwa tuhuma za kumbaka hadi kumpa ujauzito mwanafunzi wa
darasa la saba mwenye umri wa miaka 15 yatima, ambaye jina
lake linahifadhiwa.


Kufuatia tukio hilo mkuu wa Wilaya hiyo Paulo Chacha akafika
katika shule hiyo na kuagizi mwalimu mkuu huyo akamtwe
mara moja huku akilitaka jeshi la polisi kutompatia dhamana
kwa kile kinachodaiwa kumekuwa na mfululuzo wa matukio ya
baadhi ya ndugu na marafiki wanaodaiwa kutumia fedha
kumaliza suala hilo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu