Daktari afikishwa mahakamani kwa kuomba rushwa.

In Kitaifa

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Pauli Juvianalis Mganga
mfawidhi wa kito cha Afya cha Nyarugusu Wilaya na Mkoa wa

Geita amefikishwa mahakama ya hakimu makazi Geita na
taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kwa
kosa la kutuhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya shilingi elfu
kumi.


Akizungumzia tuhuma hizo mkuu wa TAKUKURU mkoa wa
Geita Rugemalila Felix,amesema Maganga huyo alipokea kiasi
hicho cha fedha ili aweze kumhudumia mama mjamzito,aliefika
kituoni hapo kwa ajili ya kutibiwa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu