Ajichimbia kaburi na kujiua kisa kuku wake.

In Kimataifa

Jamaa mmoja wa umri 38, amewashangaza wanajamii wa kaunti
ya Kakamega nchni Kenya,baada ya kujichimbia kaburi na kisha
kujitoa uhai kwa kukunywa sumu.


Fred Luvale ambaye alikuwa utingo katika barabara ya Butali
kuelekea Webuye,anasemekana kufanya kitendo hicho baada ya
mama yake mzazi kumkataza kuuza kuku wake mwenyewe.
Luvale alitaka kuuza kuku hao ndipo awanunulie watoto wake
chakula lakini mama yake hakupendelea wazo hilo.


Marehemu anasemekana kugombana na mama yake kwa dakika
chache kabla ya kuamua kujiua.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu