AJINYONGA KISA MKOPO

In Kitaifa

Mwanamke mmoja ajulikanaye kwajina la Silvia maarufu kama Albert mkazi wa mtaa wa sanawari kata ya Sekei jijini Arusha amefariki dunia kwa kujinyonga kwa Kamba kwakile kinachoelezwa na majirani kuwa chanzo ni Mkopo aliokuwa anadaiwa na watu ambao asubuhi walifika nyumbani kwake.

Tukio hilo limetokea jana july 31 2023 katikamtaahuowasanawarimajirayam hana.

Mwenyekiti wa mtaa wa sanawari godfrey Andrea mollel amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutoa wito kwa wananchi pindi wanapozidiwa na matatizo kufika ofisi za serikali kutoa taarifa ili kupata msaada.
#radio5fm

See translation

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu