Author: contributor contributor

DRONES kutumika katika kilimo cha umwagiliaji, Wamiliki watakiwa kufuata sheria

Mamlaka ya Anga Tanzania  (TCAA) imesema kuwa katika Maonesho ya Kilimo Nane Nane imejipanga kutoa elimu ya matumizi ya

Read More...

ISIS yathibitisha kifo cha kiongozi wake.

Kundi la Islamic State Alhamisi limethibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Hussein al-Hussein al-Quraishi na limemteua Abu Hafs al-Hashimi

Read More...

Papa Francis akutana na waathirika wa unyanyasaji wa kingono katika mkutano wa vijana katoliki duniani

Papa Francis Jumatano alisema kanisa katoliki linahitaji “kujitakasa kwa unyenyekevu na kwa muda mrefu” ili kukabiliana na “kilio cha

Read More...

kiongozi wa upinzani senegal afunguliwa mshtaka, chama chake chafutwa

Waziri wa mambo ya ndani atangaza chama cha Sonko Pastef Les Patriotes kimefutwa Raia wa Senegal waliachwa na mshangao siku

Read More...

ECOWAS kukutana Abuja kujadili mapinduzi nchini Niger.

Wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa jumuia ya uchumi ya mataifa ya Afrika magharibi (ECOWAS) wanakutana katika mji

Read More...

Rais wa zamani wa Ivory Coast afariki dunia

Rais wa zamani wa Ivory Coast Henri Konan Bedie, mmoja wa wanasiasa wakongwe waliotawala siasa katika taifa hilo la

Read More...

MAFUTA YAPANDA BEI

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania, EWURA, imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha,

Read More...

AJINYONGA KISA MKOPO

Mwanamke mmoja ajulikanaye kwajina la Silvia maarufu kama Albert mkazi wa mtaa wa sanawari kata ya Sekei jijini Arusha

Read More...

Katibu Mkuu wa ANC aonya: Wapigakura wa Afrika Kusini hawajali kuhusu Phala – Phala

Uchaguzi mkuu wa 2024 ukikaribia, chama cha African National Congress (ANC) kinajikuta katika hali tete huku wasiwasi kuhusu utawala,

Read More...

NABI ATEULIWA KOCHA MPYA WA ASFAR RABAT YA MOROCCO

Aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuwafundisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco FAR

Read More...

Mobile Sliding Menu