Author: contributor contributor

Kenya yaandaa mkakati wa usalama utakaotumika wakati wa kampeni na uchaguzi.

Kenya imeandaa mkakati wa usalama, ambao utatumika wakati wa kampeni na uchaguzi.Mkakati huo utajumuisha maafisa laki 1 na elfu

Read More...

Serikali ya Venezuela yakabiliwa na vifo vya watoto na kina Mama.

Serikali ya Venezuela imesema kuwa,nchi hiyo inakabiliwa na ongezeko kubwa la vifo vya watoto na akina mama. Wizara ya Afya

Read More...

TRA Mkoani Manyara yatangaza kukusanya kodi kutoka kwa wafugaji na wakulima.

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoani Manyara, imetangaza nia ya kukusanya kodi kutoka kwa wafugaji na wakulima,wanaopata mapato kuanzia

Read More...

Rais Jacob Zuma kuzuru Nchini leo.

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anatarajiwa kuzuru nchini leo, katika ziara ya rasmi ya siku tatu kufuatia mwaliko

Read More...

Sakata la vyeti feki lazua taharuki

Sakata la vyeti feki vya kielimu na taaluma kwa watumishi wa umma, limezua taharuki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,

Read More...

Chindo Man azungumzia Kifo cha Mwanae na Collabo yake mpya na SNOOP DOGG.

Chindo Man azungumzia kifo cha mwanae aliyefariki kwa ajali ya Moto huko Marekani,pia amesema anatarajia kufanya collabo yake mpya

Read More...

Mwanajeshi aliyeuawa katika shambulio la kombora nchini Mali ametambuliwa leo ni mwanajeshi kutoka Liberia.

  Mwanajeshi wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa aliyeuwawa katika shambulio la kombora lililodaiwa na muungano

Read More...

Mawaziri sita waishio uhamishoni kuhukumiwa

   Kesi ya serikali iliyopita ya Blaise Compaoré  imeikilizwa tena  jana asubuhi May 4 katika Mahakama Kuu mjini Ogadugu. Mawaziri

Read More...

serikali yakanusha taarifa zilizozagaa kuhusu kutenguliwa kwa agizo la Dkt Harison Mwakyembe.

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imekanusha taarifa zilizozagaa kuhusu kutenguliwa kwa agizo la Dkt. Harison

Read More...

Majiji yote nchini kuwa na barabara za viwango.

  Serikali imedhamiria kubadilisha muonekano wa majiji yote hapa nchini ili yawe na barabara za viwango vya kimataifa na

Read More...

Mobile Sliding Menu