Author: contributor contributor

Wafanyakazi wa Hotel ya seventy seven walipwa mafao yao.

Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa waliokuwa wafanyakazi  wa Hoteli ya Seventy Seven ya mkoani Arusha, walioachishwa kazi

Read More...

Naibu waziri wa Utalii na Maliasili atoa rai kwa vyombo vya habari vyote Nchini.

Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani ametoa Rai Kwa vyombo vya habari vyote nchini kuwa na

Read More...

Mpango wa kudhibiti utoaji wa visa za kazi kwa wageni nchini Marekani kupitiwa upya.

Rais wa Marekani aliamua Jumanne hii usiku kutia saini amri ya kupitia upya mpango wa kudhibiti utoaji wa visa

Read More...

Rasmi sasa uchaguzi Mkuu wa Uingereza kufanyika.

Ni rasmi sasa uchaguzi Mkuu wa Uingereza utafanyika Juni nane mwaka huu. Hii ni baada ya wabunge kuunga mkono

Read More...

Serikali yatoa wito kwenye mifuko yote ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.

SERIKALI Imetoa Wito kwenye mifuko  yote ya uwezeshaji wa  wananchi kiuchumi  kuhakikisha wanapitia upya viwango vya Riba katika mikopo

Read More...

Makamu wa Rais wa Marekani na naibu Waziri mkuu wa Japan wakubaliana kuweka msukumo wa kidiplomasia na kiuchumi dhidi ya Korea Kaskazini.

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence na naibu Waziri mkuu wa Japan Taro Aso,wamekubaliana kuweka msukumo wa Kidiplomasia

Read More...

Watu takribani 700 wauawa Nchini Ethiopia.

Tume ya haki za binadamu nchini Ethiopia imesema kuwa watu takribani 700 wameuawa mnamo miezi 16 iliyopita kutokana na

Read More...

Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walioshikiliwa mateka waachiwa.

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imearifu kuwa wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliokuwa wakishikiliwa mateka na wakimbizi

Read More...

Wito watolewa kwa watendaji wa Mamlaka ya Maji safi jijini Dar es salaam(DAWASCO)

Wito umetolewa kwa watendaji wa Mamlaka ya Maji safi Jijini Dar es Salaam (DAWASCO) kuongeza nguvu katika usambazaji wa huduma

Read More...

January Makamba apinga hoja ya Mbunge wa Mbarali Mkoani Mbeya.

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais(Mazingira na Muungano), January Makamba amepinga hoja ya Mbunge wa Mbarali mkoani

Read More...

Mobile Sliding Menu