Author: contributor contributor

Rais wa Uturuki aonya kuwa nchi yake itachukuwa hatua zaidi dhidi ya wapiganaji wa Kikundi nchini Syria na Iraq,

Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameonya kuwa nchi yake itachukuwa hatua zaidi dhidi ya wapiganaji wa Kikundi nchini

Read More...

Saudi Arabia kusitisha kununua silaha kutoka Ujerumani na kansela Angel Merkel atoa wito Ghuba kuacha mashambulizi ya anga nchini Yemen.

Saudi Arabia inasema haitaki tena kununua silaha kutoka Ujerumani, kauli inayokuja wakati Kansela Angela Merkel akitoa wito kwa taifa

Read More...

Wakimbizi zaidi ya 11,000 watumiwa misaada ya kibinadamu na shirika la wakimbizi huko kaskazini mwa Angola

Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, limeanza kutuma msaada wa kibinaadamu kwa wakimbizi zaidi ya 11,000 kaskazini

Read More...

Ndalichako asema uhakiki wa vyeti feki ulifanyika kwa umakini na kwa uhakika ili kutenda haki.

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo wa Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema uhakiki wa vyeti feki ulifanyika kwa

Read More...

Mkuu wa mkoa wa ARUSHA Mrisho Gambo atembelea kituo cha kupozea umeme cha Gridi -Njiro

Mkuu wa mkoa wa ARUSHA Mrisho Gambo ametembelea kituo cha kupozea umeme cha Gridi -Njiro ambacho ndicho kinapoza umeme

Read More...

Rais Magufuli asema hatua zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano zinalenga kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli.

RAIS John Magufuli amesema hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano zinalenga kuwaletea maendeleo ya kweli wananchi na

Read More...

Rais wa Marekani ampongeza Rais wa China kwa kuiunga mkono Marekani katika jitiada za kupambana na Mpango wa Nuklia wa Korea kaskazini.

 Rais wa Marekani, Donald Trump amemsifu rais wa China, Xi jinping kwa kuiunga mkono Marekani na jitihada zake za

Read More...

Washukiwa watano wa tawi la kigaidi la Al-Qaeda wauawa nchini Yemen.

Washukiwa watano wa tawi la kigaidi la Al-Qaeda nchini Yemen wameuawa jumapili katika kile kinachoelezwa na mamlaka kuwa shambulizi la

Read More...

Papa Francis atoa wito na kukataa ushabiki ili kuimarisha maridhiano na waislamu na kuwaunga mkono wakristo wachache nchini Misri.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amekataa ushabiki na kutoa wito wa upendo katika misa iliyofurahiwa na umati

Read More...

(TLS) kumburuza Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam, PAUL MAKONDA.

BARAZA la Uongozi la Chama cha wanasheria nchini Tanganyika law Society (TLS) ,linatarajia kumwandikia barua Mkurugenzi wa mashitaka nchini

Read More...

Mobile Sliding Menu