UTANGULIZI 1.Mheshimiwa Spika, naomba kutoa Hoja kwamba kutokana na taarifa zilizowasilishwa leo katika Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati
Baada ya safari ndefu, hatimaye kikosi cha Serengeti Boys kimetua salama nchini Morocco. Serengeti imetua Morocco tayari kuweka kambi kujiandaa
Kwa kuwa hali ya amani na usalama nchini Sudan imeanza kubadilika na kuwa nzuri, sasa ni wakati muafaka kwa
Tathmini mpya kuhusu ugonjwa wa Zika kwa nchi za Amerika ya Kusini imeonyesha kuwa athari za kijamii na kiuchumi
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Alhamisi limethibitisha kwamba watoto 27 wamepoteza maisha kwenye shambulio la
Kuongeza kasi ya utekelezaji wa mkataba wa amani nchini Mali ndio njia pekee ya kumaliza sintofahamu ya kiusalama na
Mwanajeshi wa Ufaransa ameuawa usiku wa kuamkia siku ya Alhamisi nchini Mali. Ripoti zinasema kuwa, mauaji haya yalijiri baada ya
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Samy Badibanga ametangaza kujiuzulu. Hatua hii imekuja baada ya rais Joseph Kabila
Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi "Farmajo" ametangaza vita dhidi ya wanamgambo wa Al Shabab. Farmajo ambaye amekuwa rais kwa miezi
Mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa mataifa Stephen O’Brien amekaribisha ahadi ya wahisani ya takribani dola bilioni