Balozi wa EU na Balozi wa Israeli Wazama Ikulu na kuongea na Rais Magufuli

Leo Tarehe 6 mwezi April mwaka 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph  Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa EU, Roeland Van de Geer na Balozi wa Israel, Yahel Vilan.

HII HAPA CHINI NI TAARIFA KAMILI ILIYOTOLEWA  IKULU

Exit mobile version