BREAKING NEWS: Mkurugenzi wa zamani wa (TIB) afikishwa Mahakamani.

Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea, Dr. Ringo Tenga, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Radio5tz

Exit mobile version