Britney Spears aonana na Watoto wake

Hatimaye Britney Spears, ameweza kuwaona watoto wake, kwani alikua amezuiliwa
amezuiliwa kuona watoto wake na aliye kuwa mume wake na mzazi mwenzake, Kevin
Federline,


Ex huyu wa Britney spears, ameonyeshwa kutokufurahishwa na safari ya Britney kuelekea
Lousiana kuona familia yake mwishoni mwa mwezi wa nne, na kumwambia kwamba kama
atataka kuwaona watoto wao Sean (14) na Jayden(13) lazima ajitenge kwa siku 14, na
mwanzoni mwa wiki hii ameweza kuwaona watoto wake baada ya kumaliza siku 14 za
kujitenga!

Exit mobile version