CARDI B AWEKA UAMINIFU WAKE KATIKA TIMU YAKE YA UTETEZI.

Cardi B anaonekana kupambana dhidi ya waendesha
mashtaka katika kesi yake ya mahakama Kulingana na
ripoti ya CBS New York iliyochapishwa Jumatatu
(Oktoba 18), Cardi B anastahili kurudi mahakamani wiki
ijayo kwa kusikilizwa.


Nyota wa Hip Hop CARD B anakabiliwa na Mashtaka ya
uzembe pamoja na kushambulia katika CLUB ya angels
strip mnamo 2018.


Kulingana na ripoti, Cardi B anadaiwa kurusha chupa
kwa wauza baa wawili BADDIE G na JADE ndani ya
Klabu ya Angels strip huko Queens ambaye mmoja
alikuwa rafiki wa mume wake offset.


Huku Jade, alidai Cardi B aliwaamuru wasaidizi wake
kuwapiga yeye na dada yake katika club waliokuwa
wanafanya kazi huko New York City.

Endapo atapatikana na hatia, rapa huyo anaweza
kufungwa miaka minne gerezani.

Exit mobile version