CCM wapongezwa kwa utaratibu wa kura za maoni.

Wakati chama cha mapinduzi CCM Kinaendelea na mchakato
wake wa kuwapata wagombea wa ubunge kupitia chama hicho,
watu mbali mbali wamepongeza utaratibu unaotumika kuwapata
wawakilishi hao.


Kubwa zaidi ni namna upigaji wa kura na uhesabuji wa kura
hizo unavyofanyiaka hadharani kila mmoja akishuhudia kura
walizozipata watia nia hao.

Mchambuzi wa siasa hapa nchini Ndugu Issa Omary kutoka chuo kikuu cah Dar es salaam,
na Dkt Lupa Ramadhani wameupongeza utaratibu huo mpya wa
CCM katika hatua za awali.

Exit mobile version