Chama cha mapinduzi CCM chatangaza vita kali.


Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole
amezungumza leo na watanzania kupitia vyombo vya habari
kuhusu masula mbalimbali yanayoendelea ndani ya Chama na
mipango mikakati kuelekea Uchaguzi Mkuu.


Katika juhudi za serikali za kupamana na Rushwa Nchini
Chama cha Mapinduzi CCM kimetoa namba maalumu kwa
wananchi kwaajili ya kutoa taarifa pindi mtu yeyote anayetoakea
ndani ya chama hicho atakapokuwa anaomba rushwa lengo
likiwa nikukomesha wimbi la rushwa hasa kuelekea mkatika
uchaguzi mkuu Octoba Mwaka huu.

Exit mobile version